MUNGU AKISEMA NDIYO _EFATHA CHOIR UHURU MORAVIAN (OFFICIAL VIDEO)

Описание к видео MUNGU AKISEMA NDIYO _EFATHA CHOIR UHURU MORAVIAN (OFFICIAL VIDEO)

MUNGU AKISEMA NDIYO HAKUNA WA KUSEMA HAPANA

(If God says yes no one says no)

Maana yeye ni mtoaji wa vitu vyote duniani
(For he is the giver of all things in the world)
Wasiwasi wako wewe ni wa nini
(Your concern is what you are)
Mungu akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana
(If God says yes no one says no)

Mungu akikukubali hakuna wakusema hapana duniani
(If God accepts you no one says no on earth)

Solo: Mungu amekupa wokovu bure
(God has given you free salvation)
All: Bila gharama yoyote gharama
(At no cost whatsoever)
Usikosee masharti kama neno lisemavyo
(Don't miss the terms as the saying goes)
Mkaribie Mungu wako amesema ndiyo
(Approach your God has said yes)

Siku zote Mungu yupo upande wako
(God is always on your side)
Anawaza mema juu ya maisha yako
(He thinks about your life)
Kwa nini una kuwa na wasiwasi
(Why you have to worry)
Ahadi za Mungu zote ni za kweli
(All of God's promises are true)
Aki ahidi anatimiza
(Fulfills whatsoever he promise)

Solo:
Maadui ni wengi wanaotaka usifanikiwe kila siku wanatamani kukurudisha nyuma\
(Most enemies who want you to be unsuccessful every day are desperate to turn
you back)
Lakini Mungu wa majeshi yeye amesema ndiyo
(But the God of hosts has said yes)
Siku zote mungu yupo upande wako
Anawaza mema juu ya maisha yako
Kwa nini una kuwa na wasiwasi
Kwa nini una kuwa na wasiwasi
Ahadi za Mungu zote ni za kweli
Ahadi za Mungu zote ni za kweli
Aki ahidi anatimiza
Aki ahidi anatimiza

Комментарии

Информация по комментариям в разработке