Salim Ally ft. Halawat Kids - Maskini (Nasheed iliyowaliza wengi kwenye Tamasha la Zan Nasheed).

Описание к видео Salim Ally ft. Halawat Kids - Maskini (Nasheed iliyowaliza wengi kwenye Tamasha la Zan Nasheed).

Zan Nasheed Festival ni Tamasha la Nasheed ambalo linakujia mara mbili kwa mwaka. Mwaka huu 2023 limefanyika tarehe 5/3/2023 katika ukumbi wa chuo cha utalii Maruhubi

Kwa ajili ya kuekesha ticket yako na taarifa zaidi kuhusu Tamasha hili unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo. 0772302104

Nyote Mnakaribishwa. Hili sio la kukosa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке