Vaileth Mwaisumo - Nitamwambia Mungu (Official Music Video) SMS: Skiza 5441207 to 811

Описание к видео Vaileth Mwaisumo - Nitamwambia Mungu (Official Music Video) SMS: Skiza 5441207 to 811

Nitamwambia MUNGU Ni wimbo unaokukumbusha kuwa chini ya jua penda kusema na MUNGU kupitia maombi, mueleze sana MUNGU kuliko watu, maana watu wamejaa maumivu badala ya msaada hivyo wimbo huu ukukumbushe kuwa kimbilio na msaada wa kweli ni MUNGU peke yake.
#VailethMwaisumo #NitamwambiaMungu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке