IBADA MAALUM YA WASICHANA NA WANAWAKE : KILIO CHA HANNA

Описание к видео IBADA MAALUM YA WASICHANA NA WANAWAKE : KILIO CHA HANNA

BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na Ibada siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada hii maalum ya WASICHANA NA WANAWAKE KUOMBA, KUOMBOLEZA NA KUJIBIWA MBELE YA BWANA inayokujia leo siku ya Jumamosi tarehe 25 Novemba 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo "KILIO CHA HANNA" kutoka kitabu cha 1 Samweli 1:17; "Ndipo Eli akajibu, akasema, Enenda kwa amani; na Mungu wa Israeli akujalie haja yako uliyomwomba".

Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке