MZEE KILOMONI AIBUKA, AWAJIBU SIMBA HADHARANI "MNAROPOKA TU"

Описание к видео MZEE KILOMONI AIBUKA, AWAJIBU SIMBA HADHARANI "MNAROPOKA TU"

MZEE KILOMONI AIBUKA, AWAJIBU SIMBA HADHARANI "MNAROPOKA TU"

Baada ya klabu ya Simba kutoa ufafanuzi kuhusu suala la udhamini wa Mzee Kilomoni ndani ya klabu ya Simba huku wakisema kuwa Mzee Kilomoni siyo mdhamini hivyo atambuliki katika klabu hiyo huku wanasimba wakitaka waachane na maneno yake.

Mzee Kilomoni mwenyewe ameibuka na kusema viongozi ambao wamesema hivyo hawaelewi wanachokisema kutokana na kutojua nyaraka za Simba na kudai kuwa klabu hiyo kuna mtu anataka kuumiliki Simba peke yake.


http://rebrand.ly/255GlobalRadioApp #255GLOBALRADIO https://www.youtube.com/channel/UCQxv...   / 255-global-r.  .   / 255globalradio     / 255globalra.  .

https://www.youtube.com/channel/UCQxv...   / 255-global-r.  .   / 255globalradio     / 255globalra.  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке