Namna Ya Kuhifadhi Contact zako/Majina /Namba za Simu Kwenye Account Ya Gmail

Описание к видео Namna Ya Kuhifadhi Contact zako/Majina /Namba za Simu Kwenye Account Ya Gmail

Google account ina faida nyingi sana ila moja wao ni ya kuhifadhi contact au majina na namba za simu,hata ikitokea simu imepotea au kuharibika basi kwa kutumia google kirahisi unayapata,hivyo anaglia hii video itakusaidia kufahamu jinsi ya kuhifadhi contact zako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке