NIKUJUE ZAIDI - AIC (T) Mbezi Beach Choir ft Julius Mwombeki

Описание к видео NIKUJUE ZAIDI - AIC (T) Mbezi Beach Choir ft Julius Mwombeki

#NIKUJUE ZAIDI, ni wimbo wetu wa sita kati ya nyimbo 7 tulizoimba kwa kumsifu na kumtukuza Mungu kwenye ibada ya USIKU WA SIFA, ( THE NIGHT OF PRAISE ), 13 oct 2023, katika ukumbi wa JC Hall, Rafia Mbezi Beach - Dar es Salaam.

Tunaamini wimbo huu # NIKUJUE kama ulivyo imbwa katika kitabu cha sifa 159 na Tenzi 92, utakuwa baraka katika maisha yako na familia yako kwa kutafakari na kutathmini mahusiano yako na Mungu.

SHUKRANI
* Kwa waumini wote wa AICT Mbezi Beach
* Mtunzi wa wimbo - "NATAKA NIMJUE YESU"
* Mwalimu wa kwaya - Thobias Dominick
* Audio Producer - Quillian Kilago
* Video Production - GLC Media
* video Director - Pascal Sumuni
* Wanakwaya wote wa AICT Mbezi Beach

subscribe, share, comment

Комментарии

Информация по комментариям в разработке