MWANAMKE BOMBA |Mesaidi Matano anafanya kazi bandarini

Описание к видео MWANAMKE BOMBA |Mesaidi Matano anafanya kazi bandarini

Alipopata kibarua katika shirika la bandari nchini takriban miaka 12 iliyopita, alifurahi kwamba angalau amepata chanzo cha kuchimba riziki yake ya kila siku. lakini kutokana na ukakamavu wake na ari ya kujiendeleza maishani amefanikiwa kutoka kiwango cha chini alichoajiriwa na kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha tugmaster ambayo ni magari ya kubeba makasha ndani ya bandari ya Mombasa. Namzungumzia mesaidi matano ambaye anatupambia malaka ya mwanamke bomba wiki hii.






Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
  / citizentvkenya  
  / citizentvkenya  
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
  / citizentvkenya  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке