Hizi ndizo sifa za Vijana wanaotakiwa kuomba kujiunga JWTZ "Wote mnatuma Barua, hakuna kujuana"

Описание к видео Hizi ndizo sifa za Vijana wanaotakiwa kuomba kujiunga JWTZ "Wote mnatuma Barua, hakuna kujuana"

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia kidato cha nne hadi shahada ya uzamili ambao wamemaliza mkataba wa mafunzo ya kujitolea JKT na kurudishwa majumbani.

Ajira hizo zimetangazwa leo Alhamisi, Machi 9,2023 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano JWTZ,Luteni Kanali Gaudentius Ilonda wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari,Jijini hapa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке