EFOFEX DRAW: Chora michoro ya Mathematics kwa urahisi zaidi ukiwa na Software hii

Описание к видео EFOFEX DRAW: Chora michoro ya Mathematics kwa urahisi zaidi ukiwa na Software hii

Michoro ya Hesabu/Hisabati yakiwemo maumbo, Graphs, Tree diagrams, Venn diagrams huwa zinachukuwa muda kuzichora moja kwa moja kwenye Microsofoft Word. Kwa software hii inarahishisha zaidi kazi hiyo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке