Mbinu Sahihi Nilizotumia Kusoma na Kufaulu Vizuri Katika Masomo Yangu

Описание к видео Mbinu Sahihi Nilizotumia Kusoma na Kufaulu Vizuri Katika Masomo Yangu

Mbinu za Kusoma na Kufaulu Masomo Yako
Mwanafunzi Kufanikiwa katika masomo yako unatakiwa kufuatilia mbinu sahihi za kusoma na kuzifanyia kazi.

Katika video hii nimefundisha mbinu ambazo nimezitumia mimi mwenyewe katika masomo yangu na kunisaidia kufaulu vizuri katika masomo Yangu.


#akili #mafanikio #masomo #mwanafunzi #necta

Комментарии

Информация по комментариям в разработке