John Mnyika Asimulia Safari ya Mwisho ya Ali Kibao Kabla ya Kutekwa, "Tarehe 5 Jioni Tuliagana"

Описание к видео John Mnyika Asimulia Safari ya Mwisho ya Ali Kibao Kabla ya Kutekwa, "Tarehe 5 Jioni Tuliagana"

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Ali Kibao kabla ya kutekwa alikuwa Dar es Salaam akiendesha mafunzo kwa maofisa na vijana wa CHADEMA siku chache baada ya kutoka Tanga alikokuwa kwenye kikao cha sekretarieti ya chama hiko kilichokaa kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке