PLANET BONGO - ROMA ATAJA VICHWA VITANO VYA HIP HOP ANAVYOVIKUBALI BONGO

Описание к видео PLANET BONGO - ROMA ATAJA VICHWA VITANO VYA HIP HOP ANAVYOVIKUBALI BONGO

Mkali wa Hit Song mpya inayosumbua kwa sasa #USIMSAHAU MCHIZ Roma Mkatoliki akishirikiana na MONI wa Central Zone kwenye Single hiyo kwa mara ya kwanza ndani ya Planet Bongo, amewataja wasanii wa hip hop anaowakubali sana Bongo
Si kawaida rapper huyo kujibu swali la ni wasanii gani wa hip hop anaowaelewa Tz lakin kwa mara ya kwanza amewataja kwani siku zote hua akijibu " Namba moja Roma, 2. Roma 3. Roma .4. Roma na 5 Roma

Комментарии

Информация по комментариям в разработке