NDOA INAMIAKA NANE | KILA SIKU NIVIPIGO | NALALA NJAA | HANA VIBALI VYA KUISHI | TUNAISHI GESTI

Описание к видео NDOA INAMIAKA NANE | KILA SIKU NIVIPIGO | NALALA NJAA | HANA VIBALI VYA KUISHI | TUNAISHI GESTI

Editha ameeleza mwanzo wa safari yake ya mahusiano na mwanaume raia wa Uholanzi ambae walifunga ndoa na mpaka sasa ndoa yao ina miaka 8.

Wame adopt watoto wawili ambao wanawalea lakini maisha yamekua magumu sana baada ya muholanzi huyo kubadilika na kutafuta wanawake wengine na kuishia kushinda Kigogo - Dar es salaam
Pia amekua akimpiga mara kwa mara na Editha ni mgonjwa kwasasa.



Thank you Editha for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке