WALISEMA NIMELETA MUHUNI NDANI | NATUMA PESA ZA KUSAIDIA WATOTO MASHULENI KUMBE WANANITAPELI

Описание к видео WALISEMA NIMELETA MUHUNI NDANI | NATUMA PESA ZA KUSAIDIA WATOTO MASHULENI KUMBE WANANITAPELI

Blessing ametueleza safari ya maisha yake mpaka sasa ameolewa na anaishi Sweden.
Alikua anatuma pesa Tanzania kwaajili ya project ya kusaidia Elimu lakini alirudi Tanzania na kukuta hamna project, walikua wanamtapeli.

Namna jamii yetu inavyokua inawachukulia watu wenye Tatoo na wanaume wenye kubana nywele au kuvaa hereni. Na namna mavazi yako yatakavyofanya jamii ikuone muhuni.

Ameeleza mengi yenye tija ya kufunza


Thank you Blessing for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке