Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO MKUU WA KISEKTA - MADINI

  • Ikulu Tanzania
  • 2019-01-22
  • 6817
HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO  MKUU WA KISEKTA - MADINI
  • ok logo

Скачать HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO MKUU WA KISEKTA - MADINI бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO MKUU WA KISEKTA - MADINI или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO MKUU WA KISEKTA - MADINI бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео HOTUBA YA RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO MKUU WA KISEKTA - MADINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wa Wazira ya Madini na Wizara ya Fedha na Mpango kujadiliana na kukubaliana na wadau wa madini kuhusu utaratibu mzuri utakaowezesha kuongezeka kwa mapato yatokanayo na madini yote yanayozalishwa hapa nchini ikiwemo kupendekeza viwango vya tozo za kodi na ushuru vitakavyowavutia wadau kulipa tozo hizo badala ya kukwepa.
Mhe. Rais Magufuli ametoa maagizo hayo tarehe 22 Januari, 2019 katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kupokea maoni ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wengine wa sekta ya madini wanaokutana kwa siku mbili kituo hapo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yahusuyo madini.
Katika maoni yao wadau hao wa madini wamemueleza Mhe. Rais Magufuli kuwa tozo kubwa na nyingi zilizowekwa katika madini hasa dhahabu zimesababisha wachimbaji wadogo na kati na wafanyabiashara wengi kukwepa kuuza madini yao katika utaratibu rasmi, hali inayosababisha zaidi ya asilimia 90 ya dhahabu inayozalishwa hapa nchini kutoroshwa na hivyo kusababisha Serikali kukosa mapato.
Wamezitaja tozo hizo kuwa ni kodi ya ongezeko la thamani (VAT) inayotozwa kwa asilimia 18, kodi ya zuio ya asilimia 5, kodi ya ukaguzi ya asilimia 1, ushuru wa huduma wa asilimia 0.3, mrahaba wa asilimia 6 na hivyo kufanya jumla ya tozo kuwa asilimia 30.3, na baadaye wanatozwa kodi ya kampuni kwa mwaka ambayo ni asilimia 30 ya faida.
Aidha, wadau hao wameomba wataalamu na viongozi wa madini wawe karibu na wachimbaji ili kujua uhalisia uchimbaji na biashara yake, kutafuta suluhisho la madini yaliyozuiliwa kusafirishwa nje ya nchi kutokana na kukosekana kwa mitambo ya kuchakatia, kupunguza gharama za leseni, kuanzisha vituo vya masoko ya madini, kupata bei elekezi ya madini ya viwanda na ujenzi na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kununua dhahabu.
Mhe. Rais Magufuli amesema Serikali itakuwa tayari kufanyia kazi mapendekezo ya wadau hao yenye lengo la kuongeza ukusanyaji wa mapato ikiwemo kupeleka Bungeni marekebisho ya sheria zinazohusu tozo za madini ili nchi iweze kunufaika na rasilimali hiyo, tofauti na sasa ambapo utoroshaji wa madini, ukwepaji wa kodi na wizi vinasababisha madini ya Tanzania kuzinufaisha nchi nyingine.
Amemtaka Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko kuhakikisha anachukua hatua za haraka za kufanya mabadiliko katika maeneo yote yaliyoonesha udhaifu ndani ya wizara hiyo ikiwemo kuwaondoa viongozi na wataalamu ambao wamekuwa chanzo cha upotevu wa mapato ya Serikali, kutafuta wawekezaji watakaojenga viwanda vya kuchenjua na kuchakata madini na kuanzisha vituo vya kuuzia madini.
Mhe. Rais Magufuli ametoa siku 30 kwa Waziri Biteko kuhakikisha ukuta wa kuzunguka madini ya Tanzanite wa Mererani unawekewa kamera za ulinzi na vifaa vya ukaguzi kwa wanaoingia na kutoka katika eneo hilo, pamoja na kuondoa sharti linalowataka vijana wenye ajira ndio waruhusiwe kuingia, hali iliyosababisha kuwepo malalamiko kuwa linasababisha vijana wasio na ajira kuingia kwa kuruka ukuta na kuwepo uhaba wa wachimbaji migodini.
Pia amemuagiza Waziri Biteko kuhakikisha maeneo yote ya madini ambayo yanashikiliwa na watu bila kufanyiwa kazi yananyang’anywa ili wapewe wachimbaji ambao wapo tayari kuchimba madini, kwa kutoa kipaumbele kwa wachimbaji wadogo na wa kati ambao wametajwa kufikia Milioni 6.
Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko, Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango, Baadhi ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Wakuu, viongozi wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Viongozi wa Dini na viongozi wa vyama vya siasa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
    Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
    7 лет назад
  • 🔴#LIVE: RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI na MANAIBU, AWACHAMBUA WOTE -
    🔴#LIVE: RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI na MANAIBU, AWACHAMBUA WOTE - "NAWAFAHAMU VIZURI"
    Трансляция закончилась 5 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA MPANGO WA  KILIMO AWAMU YA PILI (ASDP II )
    HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA MPANGO WA KILIMO AWAMU YA PILI (ASDP II )
    7 лет назад
  • RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA, DODOMA
    RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA, DODOMA
    Трансляция закончилась 6 дней назад
  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAPYA IKULU CHAMWINO, DODOMA - 09/12/2020
    LIVE: RAIS MAGUFULI ANAWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAPYA IKULU CHAMWINO, DODOMA - 09/12/2020
    Трансляция закончилась 5 лет назад
  • RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
    RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
    9 лет назад
  • HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI      22/1/20199
    HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI 22/1/20199
    7 лет назад
  • MKUTANO NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA KIKAZI YA  MHE. RAIS DKT.SAMIA  ADDIS ABABA, ETHIOPIA
    MKUTANO NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA KIKAZI YA MHE. RAIS DKT.SAMIA ADDIS ABABA, ETHIOPIA
    Трансляция закончилась 2 недели назад
  • Zifahamu mbinu ambazo IRAN inazitumia kwenye VITA dhidi ya Marekani na Israel
    Zifahamu mbinu ambazo IRAN inazitumia kwenye VITA dhidi ya Marekani na Israel
    54 минуты назад
  • 'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli
    'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli
    7 лет назад
  • "Ulitakiwa umfokee, nitakuja kufukuza mwenyewe" RAIS MAGUFULI
    7 лет назад
  • MKUTANO NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA KIKAZI YA  MHE. RAIS DKT.SAMIA  ADDIS ABABA, ETHIOPIA
    MKUTANO NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA KIKAZI YA MHE. RAIS DKT.SAMIA ADDIS ABABA, ETHIOPIA
    Трансляция закончилась 2 недели назад
  • JPM ‘apindua meza kibabe,’ katika mkutano mkuu wa kisekta ya Madini
    JPM ‘apindua meza kibabe,’ katika mkutano mkuu wa kisekta ya Madini
    7 лет назад
  • Rais Magufuli awapa 'kazi' waziri Biteko na Mpango kuhusu 'utitiri' wa kodi kwenye madini
    Rais Magufuli awapa 'kazi' waziri Biteko na Mpango kuhusu 'utitiri' wa kodi kwenye madini
    7 лет назад
  • RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE, IKULU DAR ES SALAAM
    RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE, IKULU DAR ES SALAAM
    Трансляция закончилась 3 недели назад
  • ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu
    ona MFANYABIASHARA HUYU Alivyomvunja JPM Mbavu
    6 лет назад
  • Как Иран стал главным врагом США? / Уроки истории / МИНАЕВ
    Как Иран стал главным врагом США? / Уроки истории / МИНАЕВ
    18 часов назад
  • Жириновский на украинском ТВ: Свобода слова
    Жириновский на украинском ТВ: Свобода слова
    5 лет назад
  • RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI AKIWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI
    RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI AKIWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI
    Трансляция закончилась 3 недели назад
  • Выступление Трампа по Ирану. Дело против Моргенштерна. В России переводят все бренды на русский
    Выступление Трампа по Ирану. Дело против Моргенштерна. В России переводят все бренды на русский
    Трансляция закончилась 5 часов назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com