Polisi waanzisha uchunguzi kuwanasa wahalifu Kisii

Описание к видео Polisi waanzisha uchunguzi kuwanasa wahalifu Kisii

Maafisa wa polisi mjini Kisii wameanzisha uchunguzi wa kina kufuatia genge la majambazi linalohangaisha wakazi usiku katika eneo la daraja mbili.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке