Wachina 4 watiwa nguvuni kufuatia video iliyoonyesha dhulma

Описание к видео Wachina 4 watiwa nguvuni kufuatia video iliyoonyesha dhulma

Polisi wanawazuiliwa raia wanne wa uchina kufuatia kanda ya video iliyoonyesha mmoja wao akimtandika kinyama mfanyikazi mmoja mkenya kwenye hoteli moja hapa nairobi. Mbali na haya, baadhi ya wafanyikazi waliozungumza na wanahabari wetu sasa wanasema hii si mara ya kwanza kwa hili kutokea kwani wafanyikazi wengi wanaohudumu kwenye hoteli hiyo ya kichina hudhulumiwa. Andrew okero anaarifu zaidi huku wanaharakati wakifanya maandamano leo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке