WADAU WA HAKI JINAI MKOA WA KATAVI WAIPONGEZA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA KWA UFANISI WA KAZI

Описание к видео WADAU WA HAKI JINAI MKOA WA KATAVI WAIPONGEZA OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA KWA UFANISI WA KAZI

Mkoa wa Katavi wenye ukubwa wa kilomita za mraba 47,527 na ulitangazwa rasmi tarehe 01 Marchi, 2012 kwa uamuzi wa serikali wa kuanzisha Mikoa minne mipya ambayo ni (Katavi, Njombe, Simiyu na Geita) kwa lengo la kusogeza huduma za ki-utawala na Ki-uchumi kwa wananchi wake na ulizinduliwa rasmi tarehe 25/11/2012 na Mheshimiwa Gharib Bilal, Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ufautilie makala hii kupitia Mashtaka tv kwa undani zaidi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке