NYOMI LA WANANCHI WA KAKONKO, NAKANYAZI, KIBONDO, WAKIMPOKEA MAGUFULI AKIELEKEA KIGOMA MJINI.

Описание к видео NYOMI LA WANANCHI WA KAKONKO, NAKANYAZI, KIBONDO, WAKIMPOKEA MAGUFULI AKIELEKEA KIGOMA MJINI.

Mgombea Urais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.John Pombe Magufuli amepokelewa kwa shagwe na ndelemo na vifijo katika wilaya ya Kasulu na vijiji vya Kakonko, Nakanyanzi, Kibondo na Kasulu mjini akielekea Kigoma Mjini, ambapo anatarajia kuendelea na mikutano yake kesho tare 18 ,septemba ya Kampeni ya Chama chake cha CCM.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке