UNATAKA KUANZISHA KIWANDA? Kuna hii ya fahamu kutoka TPSF

Описание к видео UNATAKA KUANZISHA KIWANDA? Kuna hii ya fahamu kutoka TPSF

Taasisi ya Sekta binafsi Tanzania TPSF, Tanzania Chamber of Commerce China TCCC, Kinyago Travel and Tours kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Beijing China wameandaa safari ya pili ya kibiashara nchini China kwa ajili ya kutembelea maonyesho makubwa ya kibiashara.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке