Uchanganyaji wa Chakula Cha Kuku wa Kienyeji - Kienyeji Layers Mash

Описание к видео Uchanganyaji wa Chakula Cha Kuku wa Kienyeji - Kienyeji Layers Mash

Uchanganyaji wa Chakula cha kuku wa Kienyeji Unategemea na Aina ya Mfumo ambao Unautumia katika Ufugaji wa kuku wa kienyeji.

Ili Upate faida nzuri kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji haupaswi kutumia pesa nyingi kwenye Chakula cha kuku.

Watumiaji wa Mfumo wa Huria kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji wanaweza kuchanganya Gunia Moja la Concentrate na Gunia Moja la Pumba, na chakula hicho kikafaa kabisa kwaajili ya kuku na wakakupa mazao Mazuri.

Wanaotumia Mfumo wa Nusu ndani Nusu nje Fomula Hii itawasaidi

Pumba ya Mahindi 20kg
Mahindi Paraza 14kg
Soya/ Alizeti 7.5kg
Dagaa 5.5kg
Chokaa 3kg

Ongeza Premix, Chumvi na Uwapatie Majani Mabichi ili wapate Vitamin na kutaga Mayai yenye kiini cha Njano 🟡

Комментарии

Информация по комментариям в разработке