EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete "nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja"

Описание к видео EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete "nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja"

Kama ulikua miongoni mwa wanaotamani kumsikia au kufahamu shughuli anazofanya kwa sana Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, taarifa ikufikie kwamba AyoTV imemtembelea Msoga na akatuonyesha anachofanya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке