Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware akamatwa

Описание к видео Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware akamatwa

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware amekamatwa na anazuiliwa katika makao makuu ya DCI Nairobi. Mshukiwa huyo alikamatwa katika nyumba moja huko kware akiwa na kadi kadhaa za simu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке