BANDARI LA KIMATAIFA KUJENGWA ZANZIBAR

Описание к видео BANDARI LA KIMATAIFA KUJENGWA ZANZIBAR

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeingia makubaliano ya awali na makampuni 12 kutoka Nchi za Marekani,Norway, Korea Kusini, Ujerumani na Hispania ya Ujenzi katika Mradi Mkubwa wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi na Kuzalisha Umeme wa Gesi asilia katika visiwa vya Unguja na Pemba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке