SIMULIZI YA KUSISIMUA: PENZI LA UMAUTI, By Ankojay

Описание к видео SIMULIZI YA KUSISIMUA: PENZI LA UMAUTI, By Ankojay

Niliamua kufunga pingu za maisha na
Julieth kwa sababu alikuwa ni mwanamke
niliyempenda sana. Alikidhi kila aina ya
vigezo nilivyovihitaji kwa mwanamke
hasa yule ambaye nilitarajia kufunga
naye pingu za maisha.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке