ONA WANAVYOCHEZA KWA MARINGO NGOMA YA MGANDA KUTOKA KIJIJI CHA LIHAGULE LUDEWA

Описание к видео ONA WANAVYOCHEZA KWA MARINGO NGOMA YA MGANDA KUTOKA KIJIJI CHA LIHAGULE LUDEWA

Huku kata ya masasi wilayani Ludewa mkoani Njombe Licha ya kuwa ni sehemu ya burudani wanapofikiwa na ugeni wa serikali wakazi wanatumia ngoma za aina mbalimbali kutoa ujumbe wa changamoto zilizopo katika maeneo yao au kutoa maoni nakualika fuatilia ngoma hii uburudike asante

Комментарии

Информация по комментариям в разработке