KAMWE NA AHMED WAJA NA JAMBO LAO JIPYA/TAMBO ZA WACHEZAJI WAPYA/NANI MTATA ZAIDI?

Описание к видео KAMWE NA AHMED WAJA NA JAMBO LAO JIPYA/TAMBO ZA WACHEZAJI WAPYA/NANI MTATA ZAIDI?

Mafahari wawili Ahmed Ally na Ally Kamwe waja na jambo jipya mjini kupitia kampuni ya Rockmax international limited.

Ambapo Leo Aug 20 wametangazwa rasmi kama Mabalozi wa Kampuni hiyo.

Hapa wamepeana Tambo kuhusu Timu zao na kiasi cha Pesa wanacholipwa kwenye Ubalozi huo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке