JINSI YA KUTENGENEZA MANDA NYEPESI ZA SAMBUSA ZA KI ZANZIBARI

Описание к видео JINSI YA KUTENGENEZA MANDA NYEPESI ZA SAMBUSA ZA KI ZANZIBARI

Nyama ya sumbusa
Nyama ya kusaga ya n’gombe pound 2. ½ /(kilo 1 na grams 300)
Bizari ya uzile ya unga ( bizari nyembamba) vijiko vikubwa 2 na ½
Pilipili manga ya kusaga ya unga kijiko 1 na ½ kikubwa
Mdalasini ya unga kijiko 1 kikubwa ( sio lazima )
Vitunguu maji pound 1.1/4
Majani ya kotmiri/dhania/giligilani – fungu moja kubwa au 2 madogo
Pilipili za kuwasha utakavyopenda
Chumvi kiasi
Vitunguu thom kiasi chembe 12
Tangawizi ukubwa wa kidole cha gumba (2)


Kwa Manda Za Sambusa

Unga wa ngano kikombe 1
Maji robo kikombe
Mafuta ¼ kijiko cha chai
Chumvi ¼ kijiko
Unga wa mchele wa kusukumia kiasi kikombe 1



Aroma of Zanzibar social media
  / fathiya.ismail  
  / aromaofzanzibar  

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...


Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation  

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Комментарии

Информация по комментариям в разработке