MABISHANO MAKALI SAKATA LA MGOGORO WA ARDHI, RC CHALAMILA AIAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA MILIONI 800.

Описание к видео MABISHANO MAKALI SAKATA LA MGOGORO WA ARDHI, RC CHALAMILA AIAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA MILIONI 800.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameviagiza vyombo vya ulinzi kufanya uchunguzi eneo lenye mgogoro pamoja na kumuagiza Kamishna kusitisha kutoa hati katika eneo hilo baada kubaini kuna udanganyifu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке