NDIVYO ALIVYO

Описание к видео NDIVYO ALIVYO

Kwaya ya Mt.Maria Goreth_ Chuo Kikuu Cha Ushirika - Moshi Wanatukaribisha kusikilizana kutazamawimbo huu uitwao NDIVYO ALIVYO, Utunzi wake Fortune Shimanyi. Ni wimbo unaozitaja sifa za Mungu wetu.

Audio na Video za wimbo huu zimefanywa na RAJO Productions. Kinanda kimechezwa na Ray Ufunguo.
Tubarikiwe sote.#Miminaneema #rajoproductions

Комментарии

Информация по комментариям в разработке