SHUBIRI YA ROHO/Latest East African film

Описание к видео SHUBIRI YA ROHO/Latest East African film

Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Kwa hakika Dunia uwanja wa fujo. Mapenzi yameendelea kuiteka Dunia na kuwafanya walimwengu kucheka na kulia sababu ya mapenzi. Asu ni Binti aliekuwa na mpenzi wake kijijini walipendana Kwa muda mrefu ila penzi lao linaingia dosari baada ya mgeni kutoka mjini kuingia kijijini na kuvuruga moyo wa Binti Asu. Asu anajikuta katika sintofahamu baada ya kujikuta yupo katika penzi la kijana kutoka mjini. Amakweli usiache mbachao Kwa msala upitao. Asu anaamua kuivunja mahudiano yake ya muda mrefu na kijana Ngwaya wapale pale kijijini. Baada ya kuhaidiwa ataolewa na kupelekwa mjini zarau,kiburi na majivuno yalimtawala na kuwaona wanakijiji wenzie niwatu wasio na hazi na yeye kujiona malkia. Je Nini kitamtokea Binti Asu katika hili penzi lake jipya?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке