Rais Ruto atangaza siku 6 za mazungumzo ya kitaifa

Описание к видео Rais Ruto atangaza siku 6 za mazungumzo ya kitaifa

Hayo yakijiri, Rais William Ruto ametangaza mazungumzo ya kitaifa kati ya vijana na wadau wengine kuanzia jumatatu ijayo ili kuangazia maswala yanayoendelea kuibuka nchini. Rais akiwataka vijana kusafisha nia na kujitokeza kwa mazungumzo hayo ya siku sita.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке