MZUNGU ALINISALITI | NILIMSHAURI MUME WANGU AACHE KAZI YAKE | NIMESHINDA TUZO MPAMBAJI BORA WA USA

Описание к видео MZUNGU ALINISALITI | NILIMSHAURI MUME WANGU AACHE KAZI YAKE | NIMESHINDA TUZO MPAMBAJI BORA WA USA

Doreen ambae ni Mtanzania kutoka Kilimanjaro ameeleza safari yake kutoka Tanzania mpaka Marekani.
Aliacha kazi yake ya Ukurugenzi na kuamua kuhamia Marekani ambako alikua hajui anaanzaje ni baada ya kupigwa tukio la kusalitiwa na Mzungu.


Kwasasa ni mama, mke, na mfanyabiashara anaefanya vizuri kwenye tasnia ya mapambo na amepata kushinda tuzo ya mpambaji bora wa USA.

Istagram @sassyflyluxury_events


Thank you Doreen for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке