KUTENGANA KWA MUDA KUNASAIDIA KUJENGA NDOA | MAISHA YA ULAYA YANA DEPRESSION NYINGI

Описание к видео KUTENGANA KWA MUDA KUNASAIDIA KUJENGA NDOA | MAISHA YA ULAYA YANA DEPRESSION NYINGI

Carol ametueleza uvumilivu ndio nguzo kuu ya kufikisha miaka 25 na ndoa yake, lakini sio uvumilivu wa kuteswa, ni uvumilivu wa maisha ya kawaida ya ndoa na changamoto zake.

Maisha ya Ughaibuni yanavyopelekea kupata Depression ( msongo wa mawazo)

Society pressure kutoka nyumbani Tanzania, malezi ya watoto , waingereza ni watu wa namna gani na maisha kiujumla ya nchini Uingereza.


Thank you Carol for allowing this to be online

www.Oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке