Jinsi ya Kupika Maandazi/Maandazi ya Kupasuka

Описание к видео Jinsi ya Kupika Maandazi/Maandazi ya Kupasuka

Mahitaji
Unga 3/4kg
Sukari robo kikombe
Hamira g 7.5
Baking powder kijiko cha chai
Baking soda kijiko robo cha chai
Tui la Nazi vikombe 2

#maandazi#2023shorts

Комментарии

Информация по комментариям в разработке