MTANZANIA ALIESHINDA MILIONI 340 MAREKANI "SINA GARI, BADO NITATEMBEA KWA MGUU"

Описание к видео MTANZANIA ALIESHINDA MILIONI 340 MAREKANI "SINA GARI, BADO NITATEMBEA KWA MGUU"

Tanzania ilimfahamu baada ya kurudi Tanzania na kuweka wazi kwamba baada ya kusoma Marekani hakutaka kubaki huko na alikataa kazi yenye Mshahara wa zaidi ya MILIONI 425 ili arudi Tanzania, Benjamin Fernandes ndio huyohuyo leo hii ameshinda MILIONI 340 lakini hataki kununua gari na kwamba bado ataendelea kutembea kwa mguu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке