Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)

Описание к видео Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)

▬▬▬▬ Yaliyomo kwenye video hii ▬▬▬▬.

0:00 - Intro
0:41 - Jicho la tatu ni nini?
2:45 - Je waganga wamefungua jicho la tatu? Masheikh,wachungaji,wachawi, jicho la tatu?
5:48 - Ukifungua jicho la tatu unaona nini?
12:06 - Giza lina faida gani?
13:02 - Athari za jicho la tatu?
19:00 - Je, kuna dhambi kwenye kufanya tendo lolote ndotoni?
37:30 - Nguvu ya miujiza?
38:00 - Nguvu ya kundalini?
38:12 - Nguvu ya pineal gland?
39:00 - Jinsi nguvu ya kundalini inavyoamsha chakra?
42:50 - Chuki ya wachawi na mwenye kufungua jicho la tatu
43:00 - Ukweli kuhusu comment za watu mtandaoni
44:00 - Nguvu ya kumshinda shetani
47:00 - Uoga katika kufungua jicho la tatu

Chapters on this video

Kwanza kabisa tuangalie Jicho la tatu ni nini?
Jicho la tatu ni Moja kati ya vituo maarufu kama Chakra katika mwili wa mwanadamu.

Zipo Chakra saba ikiwa bado hujazitambua vizuri basi rejea katika videos za chakra nilikuwa naelezea chakra moja moja na faida zake.

Hivyo basi hii ni Chakra ya Sita ambapo tunaita chakra ya Jicho la tatu. iliyojaa mambo mengi na fikirishi kwa watu wengi na kama bado hujaijua inahusu nini basi rejea katika playlist ya chakra utajifunza jambo kuhusiana na chakra hizi.

Hivyo kwa maelezo mafupi Jicho la tatu ni Chakra ya Sita ambayo inahusishwa na MAONO ambayo hufungwa na Illusion yaani imani ya maono potofu.

Hivyo sishangai kwa wale walioona sticker ya video hii na kuona teyari hii video itakuwa inahusu uchawi basi bila hata kusumbuka akili moja kwa moja unajua tu kwamba hawa watu wamepotoka kwa kudhani ama kufananisha jicho la tatu na jicho la Dajjal unajua ukikosa maarifa kila kitu chenye mtizamo zaidi ya uelewa wako wewe utaona uchawi tu.

Ukweli kuhusu jicho la tatu?
Ukweli kuhusiana na jicho la tatu ni kweli jicho la tatu ni neno tu la kutambulisha ama idea ya kuweka uhusika wa jambo linalozungumziwa hapo.
Jicho la tatu ni jicho la roho ama mtizamo wa roho katika mambo ya kiroho ambayo si rahisi kuonekana kwa jicho la kawaida.

Jicho la tatu ni sawa na kufunua pazia ulilowekewa katika macho yako kwa ajili ya kutokuona mambo mengine yasiyoonekana kwa macho ya kawaida.

Kama vile roho zilizozagaa, wachawi, majini, malaika, bacteria na mengineyo mengi yasiyoonekana.

Hapa hapa linaweza kupatikana swali kwamba kwa hiyo waganga na wachawi wenye uwezo wa kuona vitu mfano hivyo je wamefungua jicho la tatu?

Jibu ni HAPANA wala hao hawana wanachojua kuhusiana na jicho la tatu.
Jicho la tatu ni zawadi kama zawadi zingine alizokupa Mungu kisiri ili washindane na wenye kushindana basi na atakae lifungua ataona mengi kwa ukweli wake.

Swali lingine linaweza kuja hapa kwamba Je, aliyefungua jicho la tatu anakuwa kwenye imani fulani ya dini?

Jibu ni HAPANA kwa maana swali hili ni sawa na kuuliza Je, watu wenye roho ni watu wa dini fulani pekee?

Hivyo ukweli kuhusu jicho la tatu sio Jicho kama vile jicho mtu amalodhani lipo katikati ya nyusi hapana hili sio jicho bali ni maono ya kutumia roho yako katika kuangalia UKWELI

Nadhani hadi hapo shaka na dhana kuhusu Jicho la tatu na ushetani nitakuwa nimekutoa.

Jicho la tatu lina faida gani?
Faida za jicho la tatu hutegemea na matumizi ya mtu na mtu baada ya kulifungua. wengine huweza kupata experience zaidi kuliko wengine lakini faida za jicho la tatu kwa ujumla kwa watu wote wenye kufungua ni kama ifuatavyo;

Uwazi wa kiakili ambapo hukuongezea fahamu na kumbukumbu.
Ukishika ama kufanya chochote hufanikiwa.
kuwa na uwezo mzuri wa kuujieleza kwa wazi.
Kuwa na machale yalichopitiliza.
Kuhisi raha muda mwingi katika roho.
Kuwa na maamuzi sahihi.
Kuwa na maono makali na Maamuzi sahihi.
Hizi ni faida kuu za awali kabisa ambazo kila mtu huweza kuzipata pale ambapo akiwa amefungua
Kuna dalili ambazo hutokea kwenye mwili na zingine hutokea kwenye roho ama akili;

Hivyo tukienda katika masomo mengine ya kiroho basi tunakutana na Meditation, Kwa utaratibu ufuatao, utaweza kuelewa meditation ni nini na faida zake.

Tukianza na meditation
Kwanza kabisa awali ya yote kabla ya kufanya meditation unatakiwa kuwa ni mwenye kujiandaa kwa vitu vitatu.
1: Kimwili
2: Kiroho
3: Kiakili

Meditation Sahihi hufanywa kwa kufuata mpangilio wa muhusika katika sehemu hizo 3 hivyo ikiwa unataka kuanza safari ya meditation basi moja kwa moja tutaanza safari ya kimwili:

Meditation ni Elimu ambayo inataka msomaji kusoma hali ya kuwa anafanya vile vile. Ili uweze kuwa Master wa meditation.

Fahamu ya kuwa meditation inataka mazoezi na sio kwa siku baadhi au kwa muda baadhi ambao umefanya eti tu kwa kuwa umepata muda wa kufanya. Hili somo litakushinda mapema.

Meditation humtaka mwenye kujifunza kuwa ni mwenye kuiexperience pia ili kwenda nayo sawa. Ikiwa unasoma meditation kama gazeti hali ya kuwa ufuatilii muongozo wa maelekezo yake na taratibu zake basi moja kwa moja itakushinda.

MEDITATION:
Kwa mafunzo zadi ya meditation basi angalia video hii chini:

   • Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Med...  

Rakims S.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке