Jinsi ya kutoka nje ya mwili | Experience ya NJE ya MWILI | Astral Projection 4

Описание к видео Jinsi ya kutoka nje ya mwili | Experience ya NJE ya MWILI | Astral Projection 4

ASTRAL PROJECTION/Mental Projection.

Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho.
Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama.

Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza pale wanapokuwa wameshatoka ndio maana huitwa OOBE yaani Out Of Body Experience.
Baada ya wewe kutoka nje ya mwili umeexperience nini?

Na kile ulichoexperience wewe sio kukiweka sheria maana kila mtu anaweza kutoka nje ya mwili ikiwa atapata muongozo mzuri sasa kuna watu tofauti tofauti wanaweza kutoka nje ya mwili nao wakaja na makala zao za kukurupuka na Experience zisizo na kichwa wala miguu wengine experience zao ni za dhana.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке