Brayban Salome (Official Music Audio)

Описание к видео Brayban Salome (Official Music Audio)

brayban Salome(Official Music Audio)
#mapenzi #mahusiano
LYRICS
INTRO
Oh nana (AAAH)
Don music
VERSE 1
Ulipopata bwana na nikapata bibi, nilikwambia ukanambia
Sasa kwanini wanichukia, wanichukia bure bure
Si ulikuja nyumbani ukimsifia anakuhudumia, unafurahia
Sasa kwanini wanichukia, wanichukia bureee

Mbaya wa mbaya wangu mi ni rafiki, mimi na wewe hatuna baya (usifanye ivo oh!, usifanye ivo)
Adui wa adui yangu ni mwanangu, mimi nawewe ni kama ndugu (usifanya ivo oh!, usifanya)

Ni muda mrefu hatujaonana, mimi na wewe hatujaonana
Mambo yamebadilika ni chini juu, toka mimi na wewe tulipo achana

Chorus
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Nimeshakuwa mali ya Salome
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Nimeshakuwa mali ya Salome

Verse2
Labda niende soko nikanunue mboga
Nikusongee na kaugali ka udaga
Suala la mapenzi limeshaishaga
Siku hizi nina mpenzi mwingine

Hela ya matumizi ntakupa ah
Nauli pia ntalipa ah
Ila sio suala la mapenzi
Zamani yalishaisha ah

Mbaya wa mbaya wangu mi ni rafiki, mimi na wewe hatuna baya (usifanye ivo oh!, usifanye ivo)
Adui wa adui yangu ni mwanangu, mimi nawewe ni kama ndugu (usifanya ivo oh!, usifanya)

Chorus
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Nimeshakuwa mali ya Salome
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Jamirah (Mali ya Salome)
Nimeshakuwa mali ya Salome

Bridge
May be things went wrong Jamirah,
Don’t worry
Don’t cry, all is well
Oh Jamirah oh,
Oh oh Jamirah Oh
I know you, strong women
Nice friend
JAMIRAH

Комментарии

Информация по комментариям в разработке