KUJIUZA NI AJIRA NA UNAKATWA KODI NA SERIKALI | TUMEISHI MAHUSIANO YA MBALI MIAKA 3

Описание к видео KUJIUZA NI AJIRA NA UNAKATWA KODI NA SERIKALI | TUMEISHI MAHUSIANO YA MBALI MIAKA 3

Tatiana ameeleza namna mahusiano yake na boyfriend wake yalikua ya mbali kwa muda wa miaka mitatu.

Walikua wakionana miezi mitatu mitatu, na sasa wanaishi Holland pamoja kwa Tatiana kupata partner visa ambayo inamruhusu kuishi hata kama hajafunga ndoa.

Anaeleza namna biashara ya kujiuza nchini huko kua ni Kazi Kama Kazi zingine. Na watu waache kutumia mtandao wa kimahusiano vibaya kwa lengo la kujiuza Kwani ipo mitandao maalumu kwa Kazi hiyo.

Thank you Tatiana for allowing this to be online

www.Oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке