Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть TAARIFA KUBWA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA

  • Fullshangwe tv
  • 2024-07-03
  • 9129
TAARIFA KUBWA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA  JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA
  • ok logo

Скачать TAARIFA KUBWA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно TAARIFA KUBWA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку TAARIFA KUBWA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео TAARIFA KUBWA ILIYOTUFIKIA MUDA HUU KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI TANZANIA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linatarajiwa kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwake kwa kufanya mazoezi ya kivita katika maeneo mbalimbali nchini kabla ya siku ya kilele.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2024 jijini Dar es Salaam, Msemaji wa Jeshi la JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Ilonda, amesema kuwa maadhimisho hayo yataenda pamoja na shughuli mbalimbali za kijamii kama vile utoaji wa matibabu ya afya kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya kutoa shukrani kwa wananchi kwa kuendelea kudumisha amani na mshikamano na jeshi tangu kuanzishwa kwake.

Luteni Kanali Ilonda amesema kuwa hospitali za Kanda za Kijeshi kutoka Mikoa mbalimbali ikiwemo Arusha, Mwanza, Mbeya, Tabora, Zanzibar, zitatoa matibabu bure kwa wananchi ikiwemo magonjwa ya kuambukiza kama vile UKIMWI pamoja na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu, Saratani ya Matiti, Tezi dume, Sukari, Maabara na Damu salama na magonjwa ya dhalura.

“Kutakua na mazoezi mbalimbali ya kivita yatakayofanyika katika Mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga na Morogoro, hivyo amewaomba wananchi wasiwe na hofu wakati watakapoona zana za kivita ikiwemo vifaru na ndege zikipita katika makazi yao” amesema Luteni Kanali Ilonda.

Luteni Kanali Ilonda amewatoa hofu wananchi wanapoona zana za kivita zinapita kwenye maeneo ya makazi yao wasiwe na wasiwasi kwani zana hizo zinatumika katika zoezi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi lao ambapo mwaka huu wamepanga maadhimisho haya yawe ya aina yake tofauti na maiaka mingine.

Luteni Kanali Ilonda amesema katika maadhimisho hayo Jeshi la Ulinzi wa Wananchi (JWTZ) litashirikiana na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa china kufanya zoezi ya pamoja kuanzia Julai 29 hadi Agost 11,2024 katika maeneo ya mkoa wa Dar es salaam na Pwani.

Amesema kuwa vikosi vitakavyohusika katika zoezi hilo ni pamoja na Kamandi ya Maji, Kamandi Nchi kavu, Kamandi ya Anga ambapo watatumia zana ikiwemo meli na ndege za kivita.

”JWTZ na Jeshi la Ukombozi la Watu wa China litakua ni kuwakumbuka waasisi wa majeshi haya akiweo Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa China wa awamu hiyo, pia kumbukumbu ya miaka 60 ya udugu na uhusiano wa mataifa haya mawili” amesema Luteni Kanali Ilonda.

Amesema zoezi hayo yatafanyika baharini na nchi kavu katika eneo la wazi ili wananchi wapate fursa yakujionea kupitia vyombo vya habari kwa wale ambao hawapo maeneo ya baharini.

Maadhimisho hayo yatafikia kilele chake Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanyika kwa gwaride maalumu pamoja na kuonyesha silaha za kivita tangu JWTZ ilivyoanza na ilipo hivi sasa katika kuimarisha ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Shughuli nyingine zitakazofanyika katika maadhisho hayo ni pamoja na mashindano ya utamaduni kwa ajili ya kukuza utamaduni wa mtanzania, mashindano ya Mkuu wa Majeshi, Michezo mbalimbali pamoja na Gwaride

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.03.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.03.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
    Трансляция закончилась 4 часа назад
  • Xameneyinin oğlu varisdir? Pezeşkianı nə gözləyir? Türkiyə də hədəf oldu. Hücumların 4-cü günü
    Xameneyinin oğlu varisdir? Pezeşkianı nə gözləyir? Türkiyə də hədəf oldu. Hücumların 4-cü günü
    Трансляция закончилась 16 часов назад
  • UWEZO WA KOMANDO WA JWTZ, UTABAKI MDOMO WAZI
    UWEZO WA KOMANDO WA JWTZ, UTABAKI MDOMO WAZI
    Трансляция закончилась 5 лет назад
  • ⚡️НОВОСТИ | СРОЧНОЕ ЗАЯВЛЕНИЕ ПУТИНА | МАССОВЫЙ УДАР ПО РОССИИ | ЩЕРБАКОВА ОТМЕНЯЮТ| США МАЛО ОРУЖИЯ
    ⚡️НОВОСТИ | СРОЧНОЕ ЗАЯВЛЕНИЕ ПУТИНА | МАССОВЫЙ УДАР ПО РОССИИ | ЩЕРБАКОВА ОТМЕНЯЮТ| США МАЛО ОРУЖИЯ
    2 часа назад
  • Asili ya watu wa Kilwa na mwenyeji halisi
    Asili ya watu wa Kilwa na mwenyeji halisi
    8 лет назад
  • HATARI! CHEKI MAFUNZO ya WANAJESHI wa JWTZ na JESHI la CHINA - ASKARI WAONESHA UKAKAMAVU ni BALAA...
    HATARI! CHEKI MAFUNZO ya WANAJESHI wa JWTZ na JESHI la CHINA - ASKARI WAONESHA UKAKAMAVU ni BALAA...
    2 года назад
  • Война США и Израиля против Ирана на суше и на море: главные развития 5-го дня конфликта
    Война США и Израиля против Ирана на суше и на море: главные развития 5-го дня конфликта
    8 часов назад
  • UNA KIPAJI!! JESHI LA ULINZI WANANCHI WA TANZANIA WAIBUKA NA MAAHINDANO YA CDF CUP 2024
    UNA KIPAJI!! JESHI LA ULINZI WANANCHI WA TANZANIA WAIBUKA NA MAAHINDANO YA CDF CUP 2024
    1 год назад
  • Экстренный эфир. 🔴 5 марта • 09:00
    Экстренный эфир. 🔴 5 марта • 09:00
  • MWANZO MWISHO  KUAPISHWA ASKARI WA JWTZ RTS KIHANGAIKO
    MWANZO MWISHO KUAPISHWA ASKARI WA JWTZ RTS KIHANGAIKO
    5 лет назад
  • УДАР ПО ЭСМИНЦУ США: АВИАНОСЦЫ ОТСТУПАЮТ | Константин Сивков
    УДАР ПО ЭСМИНЦУ США: АВИАНОСЦЫ ОТСТУПАЮТ | Константин Сивков
    14 часов назад
  • Mwanzo Mwisho Alichokisema Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda Mkutano wa Mwaka na Makamanda JWTZ
    Mwanzo Mwisho Alichokisema Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda Mkutano wa Mwaka na Makamanda JWTZ
    2 года назад
  • 🤯Не УСПЕЛ Путин ОТВЕТИТЬ ПО Ирану, а Трамп ОБЪЯВИЛ НОВУЮ войну! АТАКА ДУБАЯ дронами РФ. Важное 05.03
    🤯Не УСПЕЛ Путин ОТВЕТИТЬ ПО Ирану, а Трамп ОБЪЯВИЛ НОВУЮ войну! АТАКА ДУБАЯ дронами РФ. Важное 05.03
    3 часа назад
  • Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7
    Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7
    9 лет назад
  • Dkt. Stergomena Tax Afunga Mafunzo ya  Ukamanda na Unadhimu, Ulinzi na Usalama
    Dkt. Stergomena Tax Afunga Mafunzo ya Ukamanda na Unadhimu, Ulinzi na Usalama
    3 года назад
  • MKULIMA, MMILIKI WA RUANGWA HOTEL AFUNGUKA |
    MKULIMA, MMILIKI WA RUANGWA HOTEL AFUNGUKA | "NI YANGU NA FAMILIA YANGU"
    3 года назад
  • Быков. Я долго молчал, но теперь хватит! Вот вам страшная правда о том, что задумали Трамп и Путин!
    Быков. Я долго молчал, но теперь хватит! Вот вам страшная правда о том, что задумали Трамп и Путин!
    3 часа назад
  • CDF CUP 2024 | Meja Jenerali Mhona akisikitishwa utofauti Yanga, Simba, Azam na klabu zingine
    CDF CUP 2024 | Meja Jenerali Mhona akisikitishwa utofauti Yanga, Simba, Azam na klabu zingine
    1 год назад
  • ⚡️ Войска прорвали границу Ирана || НАТО впервые вступило в бой
    ⚡️ Войска прорвали границу Ирана || НАТО впервые вступило в бой
    4 часа назад
  • RAIS MAGUFULI AMBADILISHA MPAMBE WAKE(BODYGURD)NA KUWAPANDISHA VYEO MAAFISA 28 WA JWTZ
    RAIS MAGUFULI AMBADILISHA MPAMBE WAKE(BODYGURD)NA KUWAPANDISHA VYEO MAAFISA 28 WA JWTZ
    7 лет назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com