NILIANZA KUJIFUNZA KUTAFUTA MARAFIKI ONLINE NIKIWA NA MIAKA 15|KUHAMIA ULAYA INABIDI KUJIPANGA AKILI

Описание к видео NILIANZA KUJIFUNZA KUTAFUTA MARAFIKI ONLINE NIKIWA NA MIAKA 15|KUHAMIA ULAYA INABIDI KUJIPANGA AKILI

‪@fortunenova6242‬ ameeleza safari yake ya kujifunza kutafuta marafiki online tangu akiwa na umri wa miaka 15 na akawa na marafiki nchi za mbali wa kutumiana barua.

Amekutana na mwenza wake ndani ya Wiki mbili tu baada ya kua serious anatafuta mwenza mtandaoni.

Subscribe to her YouTube channel ‪@fortunenova6242‬ kujifunza na kufurahia life style yake na mwenza wake.


Thank you Fortune Nova for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке