NILIKUTANA NA WAZUNGU WA HOVYO MTANDAONI | NAMNA YA KUPATA KAZI KWENYE NDEGE | MSICHANA JIHESHIMU

Описание к видео NILIKUTANA NA WAZUNGU WA HOVYO MTANDAONI | NAMNA YA KUPATA KAZI KWENYE NDEGE | MSICHANA JIHESHIMU

Mimi ameelezea safari yake ya maisha kutoka Kenya na kwenda Dubai ili kutafuta kazi ya Cabin Crew - EMIRATES

Ametoa tips za namba ya kufanya na umri gani unaweza pata kazi huko.

Pia ameeleza safari yake ya online dating mpaka kukutana na mume wake.
Changamoto alizopitia lakini hakuwahi kukata tamaa.

Amewaasa vijana kufanya kazi na kuacha kuomba omba, na amewaasa vijana kujiepusha na hasad za show off za mtandaoni.

Thank you mimi for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке