Gari la IKULU lilivyotumwa na JPM Msikitini

Описание к видео Gari la IKULU lilivyotumwa na JPM Msikitini

Msaidizi wa Rais Kanali Mbaraka Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la kuswalia msikitini hapo kutoka kwa Rais Dkt Magufuli pamoja na pesa taslimu shilingi milioni 2 akiwa kaongozana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Bw. Jaffari Haniu (nyuma ya Imamu) leo Novemba 17, 2017

Комментарии

Информация по комментариям в разработке