Fid Q - Champion (official music video)

Описание к видео Fid Q - Champion (official music video)

Vile nina discipline

hata ukinidiss mimi

sileti shazi,sikuweki wazi kwenye big screen



Ninasaka chi- ching

ninafanya big tings

kazi kazi nyie waduanzi hamnishushi mimi



Mie ni striker mwenye kiu ya kuitikisa

nyavu/

Mie ni fighter.. kauli mbiu ni kuwashikisha adabu



Taita mwenye mbio ziso-umiza pafu

Kama bysir ukiwa na mlio ukiniita mie ninarapu

Na Nikitema sixteen au hata nyingi bars



Ninarushiwa g-strings.. shilingi au hata bras

Mixa shangwe nyingi, applause.. picha wanipambe mdingi ofcoz watambe wako na king wa flows za kibabe wawachape paah







Mablingbling.. mie huwaga sipendi yavaa



Nimejaa madi-dini.. kichwani mengi sa-

na ninapowin win..

ninaona macho ya chini chini



kama msako wa king pin

mie Na hustle ni twin twin..







Haters wananuna why sijalegeza? Mayn..

Haupaswi kupuuzwa kama hauna cha kupoteza



Na hata kama ni fedha nyingi nitashika ..

na kutekeleza yale ya msingi kila dakika



Ninaikumbuka shida mavumba nikishika



Ninawasafisha walionichafua



walioniombea njaa ninawalisha na kuwanyanyua

Walioniangusha walioniliza ninawafuta chozi



Walionidhulumu wakinikopa ninawalipa ofcoz



kero za kelele ninazijua



Na sio kila kinachokusongesha mbele ni hatua.. sure



Kwani.. haujawahi kugomewa na break za gari pindi ukiwa mlimani?/





au kwenye spidi kali..na vigingi havionekani..

Ukapona ajili ya dua za wale witness kwa njia

Kumruhusu mdhaifu akukere hiyo ni weakness pia



kuna mambo hayaji bila force hivyo ukipozi utanywea



Na kwangu UHURU si chochote ikiwa hautoniruhusu kukosea



We are we are..

We are who we are

We the champions

Sisi ni washindi



We are we are..

We are who we are

We the champions

Sisi ni washindi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке