Mwanzo Mwisho Hotuba ya Mbowe Babati

Описание к видео Mwanzo Mwisho Hotuba ya Mbowe Babati

Leo Juni 28, 2024 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amehutubua wananchi wa Babati Mkoani Manyara katika muendelezo wa ziara zake za kufanya mikutano ya hadhara ya chama hicho nchi nzima.

Hata hivyo mapema kabla ya kaunza mkutano huo Mkurugenzi wa Babati amelalamikiwa na Chama hicho kuwa amezuia kwa muda shughuli za mkutano kufanyika katika eneo hilo na kuwataka CHADEMA kutafuta eneo jingine la kufanya mkutano wao huo. lakini baadaye waliruhusiwa kuendelea na mkutano wao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке