MREMBO WAKISHUA ANAENDESHA UBER DSM, ANAINGIZA MILIONI 1.6 KWA MWEZI, ALIACHA KAZI

Описание к видео MREMBO WAKISHUA ANAENDESHA UBER DSM, ANAINGIZA MILIONI 1.6 KWA MWEZI, ALIACHA KAZI

AyoTV inakukutanisha na Dorah Kyamba (39) Mwanadada anaefanyabiashara ya Tax Mtandaoni (UBER) miaka miwili nyuma aliacha kazi ya laki 9 kwa mwezi na kuingia kwenye kazi ya Udereva Tax wa Uber hapa Dar es salaam
Dorah amefanikiwa kumiliki Tax mbili (UBER) moja akiendesha mwenyewe na nyingine amemwajiri ndugu yake leo hii anao uwezo wakuingiza milioni 1.6 kwa mwezi, kuyafahamu mengi ya Mwanadada huyu @dorahkyamba amepita Studio za AyoTV hapa Palm Village Mikocheni Dar es salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке