Heshima Sifa tunakupa Yesu by UTULIVU CHOIR Lyric

Описание к видео Heshima Sifa tunakupa Yesu by UTULIVU CHOIR Lyric

Utulivu choir inakuleteya wimbo muzuri uitwao Heshima Sifa tunakupa Yesu by UTULIVU CHOIR Lyric #Heshima #Sifa #tunakupa# Yesu

Heshima, Sifa ninakupa Yesu, wastahili, uinuliwe eh milele yote he! unatosha, Eropa, Amerika Asia Oceania na Afrika hakuna mwengine. Nilitembeya katika ulimwengu wote niliwaona watu wa aina zote matajiri masikini na wengine wengi hawa wote wajipatiya heshima...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке