NEEMA YA GOLGOTHA

Описание к видео NEEMA YA GOLGOTHA

Utulivu choir inakuleteya wimbo mpya uitwao: NEEMA YA GOLGOTHA: Haleluya, haleluya Mungu wetu atukuzwe, kwa mambo makuu, ametutendeya kutupa bwana Yesu, aliyejitowa kwetu ili tuweke huru ili tuweke huru, tuwe na uzima tele milele milele milele! kwa maana ginsi Mungu aliupenda ulimwengu, akamutowa mwanaye wa pekee, ili kila mutu amwaminiye asipoteye, bali awe na uzima wa milele, upendo wa ajabu tumependwa he! Yesu sadaka yetu kamilifu: tutamsifu tutamsifu dunia nzima isikiye, tutamsifu tutamsifu dunia nzima isikiye, walio mbali na karibu wasikiye habari za Yesu Munazareti, waone furaha ya wokovu na uzuri wake! samani ya wokovu tumepata sisi yelele hailinganishwi na kitu chochote, nemma ya goligota tumepata sisi, hailinganishwi na kitu chochote, wazazi wangu, rafiki zangu hawange jitowa ili niokoke, kuna yule aliye jitowa ni Yesu. Wokovu kamilfu tumepata ni kwa neema tusichezeshe hiyo neema ya Goligota.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке